tatizo siku hizi magonjwa mengi nduguHuyu ni mama aliyeishi miaka ya nyuma kidogo. Aliachwa kijijini akiangalia watoto wake na kuangalia rasilimali zao. Baba yeye alikwenda mjini kutafuta, huku mama akipata watot kila alipoenda kumuona. Mawasiliano yalikuwa ni barua, so alipata ujauzito, akajifungua na baadaye kumuandikia mr wake kuwa amejifungua mtoto wa jinsia fulani, amabae baba humuona baada ya muda mrefu. Kumbe muda wote huo alikuwa akijipatia huduma mbadala kwa mama mtu mzima kuliko yeye na mkewe na walikuwa wakiishi wote. Baadaaye yule mpenzi wa baba aliumwa na hivyo, asingeweza kumuacha maana waliishi muda mrefu. Then, baba akaagiza mke aje kutoka kijijini na watoto. My God, yule mama kuja akakuta kumbe ndani kuna mke mwenzie mtu mzima kuliko wao but ni mgojnwa. Akaendelea kuishi na mumuwe wakimuuguza huyo mama mpaka alipofariki. Na wao wameendelea kuishi na wamelea watoto wao wamekua na sasa waote wamejitegemea, mama anasema kwa kweli anafarijika kuona wanawe wanaishi maisha mema na kuwatunza yeye na mumewe.
Kumbuka
Si kwamba naunga any of this man' s doing
1. Saiafiki kabisa wanandoa kuishi mbalimbali kama kuna uwezekano wa wao kuishi pamoja.
2.Siafiki mume kuwa na mwanamke nje ya ndoa hata mkewe yuko mbali.
But
Nimejifunza kuwa huyu mama alikuwa na mapenzi ya dhati kwa mumewe na watoto, na hakuona sababu ya kuondoka tu kwasababu mume wake amekosea. Na kwa style hiyo wameendelea kuishi kama mume na mke na kulea watoto wao.
na
Sisi wanawake wa sasa tunajifunza kuwa tunaweza kusimamia ndoa zetu, bila kujali mumeo kakukoseaje. Usikimbilie kumchukia, au kuondoka, SIYO NJIA NYEPESI YA KUTATUA MGOGORO WA NDOA.
Enny rejea mada yangu ya waume kupetty wake zao. kila jambo lina cha kujifunza mkuu.Sasa unataka wavumilie mpaka wafie kwenye ndoa , unvumilivu na upole unatakiwa uwe na kiasi. Nilitegemea ungekuwa unawaasa wanaume waache tabia hizo badala ya kuwaambia wanawake wawe wavumilivu
mh sidhani kama ntayawezaa yani niishi na mke mwenzangu alafu nimuuguze? hiyo roho sina .
Mpendwa munkar, Oldi is goldi nakubaliana nawe !! Lakini wale wazama za Mababu na Mabibi ngoma hiyo ilikuwepo Mie mwenyewe nilishuhuda katika ukoo ! sijui watu walikuwa na Roho specho? Leo ni nadra kusikia au kutokea.mh sidhani kama ntayawezaa yani niishi na mke mwenzangu alafu nimuuguze? hiyo roho sina .
tatizo siku hizi magonjwa mengi ndugu
Kwa hiyo utafanyaje?
Kweli huyo ni strong woman, mie siwezi..... kwanza nikigundua tu nacheatiwa ni issue achilia mbali uke wenza, lol!
mh kweli old is gold na ndo maana waliweza kuishi miaka mingi sana ktk ndoa but kwa kizazi hiki cha leoo thubutuuu lazima moto uwake .Mpendwa munkar, Oldi is goldi nakubaliana nawe !! Lakini wale wazama za Mababu na Mabibi ngoma hiyo ilikuwepo Mie mwenyewe nilishuhuda katika ukoo ! sijui watu walikuwa na Roho specho? Leo ni nadra kusikia au kutokea.
kweli pacha wangu maisha magumu hatuonani kweli!!!! mimi ni mzima lakini nakusalimu sana natumaini Mungu anaendelea kukutunza vemaPacha habari za siku lakini
kweli pacha wangu maisha magumu hatuonani kweli!!!! mimi ni mzima lakini nakusalimu sana natumaini Mungu anaendelea kukutunza vema
The leader; Kwani Moto unaanzaga cheche au shinikizo la kimaisha ? Kweli siku hizi twasikia miripuko jambo dogo hata halistahili ! imekuwa kama fashen etiee.? Jameeni mbona hivyo hakuna kuvumiliana. God forebide kizazi cha leo.mh kweli old is gold na ndo maana waliweza kuishi miaka mingi sana ktk ndoa but kwa kizazi hiki cha leoo thubutuuu lazima moto uwake .