Huko Iceland, imeripotiwa kuwa kundi la watalii lilikuwa linasafiri pamoja kwenye basi kwenda Volcanic Eldgka canyon. Basi lilipofika mahali fulani lilisimama na watu wote wakashuka kwenda maliwatoni, ndio mwanamke mmoja baada ya kujisaidia akaamua kubadilisha nguo. Kabla ya basi kuanza tena safari, ndio maelezo yalipotolewa kuna mtu aonekani,"Asian woman, about 160cm in dark clothing and speak English well". Lakini yule mwanamke hakuelewa maelezo.
Kilichofuata ni kundi la watu kama hamsini pamoja na mwanamke anayetafutwa, kuanza ku-search the area, huku coast guard wakisaidia na helicopter ya polisi ilikuwa inaandaliwa. Kituko kilianza asubuhi mpaka majira ya saa 9 ndio kuna one genius guy figured out, like wait a second, are you not the one we are searching for here. Ndio huyu mama anashtuka hee, kumbe mnanitafuta mimi? Dunia ina mambo!