This moment!

Iraq,Libya Siria,Yemeen hazitakuja kurudi katika uchumi wake wa mwanzo na subiri Turkey ipo siku yao hawapo salama...kuhusu Iran marekani hamjui angeisha mvaa pia ni pua na mdomo kwa Islael anajua atafyatua tu ICBM Zake kwenda kwa wayahudi.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Wa Iraq na Libya wanatamani sana muda wa hao wababe wao urudi na wanaapia wasingerudia kosa tena for them kipindi cha hao wababe ndio ilikua golden time
 
Haya ndio matatizo ya kuongoza nchi kama mali ya familia na kusahau kuwa nchi ni ya wananchi wenyewe, maendeleo ya kwanza kabisa ya mwanadamu ni Uhuru wala siyo basic need, ukiminya uhuru wa watu kusema na kukosoa kwa yale uyafanyao unakuwa unatengeneza chuki na bomu kwa jamii unayoitawala na mwisho wake huwa siyo mzuri hata kama uliwapa kila kitu katika maisha yao, hivyo watawala wajifunze kuwa viongozi badala ya kuwa watawala
 
Hizo nchi imebaki story tu kama tunavyosoma maziwa na asali Kaanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…