Hiyo ni treu stor ilitokea songea jamaa alikuja anahitaji zile shilingi akaenda kwa jamaa akanunua kama za milioni kumi na kumuachia milioni kumi amnunulie akaja akachukua mzigo nakumuambia amtafutie za milion 100 kumbe jamaa kamuuzile na nyingine zakutosha kilichotokea jamaa anasubiri hadi leo
Uliahasikia mtu anatafuta rupia?,ndio michezo yao hio,anatokea mtu anakwambia kuna mzee fulani yupo kijiji fulan ana hio rupia ukifika unainunua kwa gharama rudi tajir unakutana na manyoya au unaambiwa sio hii[emoji3][emoji3]