barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
For a woman, as you take a break, time is not on your side! The train (age) is pulling away from you so fast!! No wonder you are so cunning!Inatokana na kubeba mzigo moyoni utokanao na mahusiano yaliyopita.
Ndo maana huwa nasema baada ya mahusiano, watu wapende kuchukua break ya kupumua na kujifundisha kitu kutokana na mahusiano, ku recover kabla ya kusonga mbele.
Bila hiyo tunaishia kuchukia jinsia tofauti na kuwajumlisha katika makosa ambayo hawakututendea.
Haipo.Don't take life too seriously mkuu. Hata kama sio kwa kuangalia nyota unaweza kuangalia sifa gani unayo hapo inayokuchelewesha
Okei, sema hapa why you are still single tuone kama hudondokei ktk moja ya hizo sababu!!Hakuna kitu kama hicho. Mimi niko single na hakuna sababu hapo.
Huo ni ushirikina tu ambao hauna uhalisia. Kwa kua waafrika wengi wanahusudu ushirikina na upigaji ramli kama huo ndio wanaona kuna sababu hapo.
hahaha! Huyu ndo kasema hayo?
Umeeleza vizuri, nimekuelewa vizuri mnoInatokana na kubeba mzigo moyoni utokanao na mahusiano yaliyopita.
Ndo maana huwa nasema baada ya mahusiano, watu wapende kuchukua break ya kupumua na kujifundisha kitu kutokana na mahusiano, ku recover kabla ya kusonga mbele.
Bila hiyo tunaishia kuchukia jinsia tofauti na kuwajumlisha katika makosa ambayo hawakututendea.
Kitu wanawake hawaelewi, time heals ila haina maana kua ukijipa muda na ukaanza mahusiano mapya hutaumia au hutaumizwa. Time doesn't exempt you from being hurt again.For a woman, as you take a break, time is not on your side! The train (age) is pulling away from you so fast!! No wonder you are so cunning!
So, I should jump from one man to the other in my race against time?For a woman, as you take a break, time is not on your side! The train (age) is pulling away from you so fast!! No wonder you are so cunning!
Janga hilo mkuuWanawake, hiyo YOU FLIRT WITH EVERYONE inawakost sana. Mwanaume hawezi oa mwanamke anachekacheka tu na kila mwanaume, never!!
Hahaaa nilijua tu ukinisoma lazima uniumbueAre you still single?
Ya kwako niniYa kwangu uongo
Mbona umeniongelesha kingreza mie utadhani ulinisomeshaMwenza kiinglish ulijifunzia wapi? Nitafsirie basi.
I make a lot of sense if you just give youself time to think outside the box! I ended up saying, NO WONDER YOU ARE CUNNING!! Ididn't write this for granted, again, think outside the box MUMMY!So, I should jump from one man to the other in my race against time?
Or I should stay in a bad relationship because of I walk out time will not be on my side?
You are not making sense young man.
Ndivyo ilivyo.Wenyewe watakwambia una wivu balaa plus gubu
Ramli chonganishiHakuna kitu kama hicho. Mimi niko single na hakuna sababu hapo.
Huo ni ushirikina tu ambao hauna uhalisia. Kwa kua waafrika wengi wanahusudu ushirikina na upigaji ramli kama huo ndio wanaona kuna sababu hapo.
Basi niambie wewe..Yako ipi?Toka apa