This is Why Girls Top Exams !

This is Why Girls Top Exams !

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
galz_top_exams.jpg
 
Mkuu
Kuna ukumbi wa jokes hapa JF... na bandiko hili linafaa huko!
 
Kaka hiyo kali.............kama ndo kutafuta kutoka ,basi huko nako kumezidi.ila kuna wale pia wanaojiandika hadi kwenye mapaja!!!!!!!!!!!!!!
 
Huo ni ubunifu wa hali ya juu sana. Kwa hali hiyo tutakuwa na wataalamu hewa
 
Haka kaugonjwa bado kapo tu?? Nakumbuka nilipokuwa chuo nilishuhudia mdada mmoja aliingia kwenye exam na A4 paper imeandikwa both sides akaibana na pini kwenye sketi yake. Ile sketi iko kama unafunga kanga then kuna kikamba anamalizia kuzungusha kiunoni so akiwa amekaa kwenye kiti anafunua sketi karatasi iko kwa ndani. Mh! hatari kabisa.
 
Back
Top Bottom