Kwanza pole sana kwa uliyopitia.
na Pole zaidi kwa kumpoteza baba pamoja na babu..
Nadhani kwa kila mtu ni tofauti
Hii situation yako nimeona sana na
binafsi nimekumbana nayo ila kwa mimi
ni baba ... ni wanawake wachache sana
wanao kataa au kutowatunza wanao lakini
asilimia kubwa nilioongea nao ni baba ndo anaekimbia familia..
ww nawe kama ni mwanamke kweli na umesoma na ulishawai kuingia ktk mahusiano huwezi kumchukia mama yako hata cku mojaPole sana na umenikumbusha machungu
Hata mimi yalinikuta,mama aliona ndoa yake ni vyema zaidi kuliko mimi aliyenizaa nje ya ndoa.....Hakuthamini kuwa nilimwitaji wala hakujali uchungu aliyonipa kwa vitendo vyake.Nilipata upendo kutoka kwa baba wa kambo kuliko hata kwake.Alitugawa kwenye mafungu nami nilibaki pekeyangu coz ckuwa mtoto wa ndoa ile.kupokea vichapo na matusi ya hapa na pale hata yaliyo juu ya umri wangu.Ilibidi ndugu zake wanichukue na kunilea.
Hakutaka kunieleza baba yangu ni nani akidai kuwa amefariki na hafahamu ndugu zake.
Mimi ni mdada lakini for sure miaka michache iliyopita nilikuwa namchukia sana mama yangu....But baada ya kugundua kuwa atleast saffering alizonipa zimenifanya niwe mchakalikaji wa kujitafutia life{not dependat} nikapata nafasi ya kumpatia nafasi yake tena maishani mwangu.
For the life she is in she real needs me now more than ever and I am glad to help her.
Think twice na umsamehe Mama yako
mulize basi usimuwazie tu mabaya uliza kwann watz hamuwezi kuhoji munapenda kulalama tu..........mi cpendi watu wa ivi bwana ala.........Flovans,usijali nimeshamsamehe nae pia anahitaji msaada wangu,mimi kama kijana wa kiume nakua ananihitaji sana,pole kwa yaliyokukuta!
siku yangu ya leo imeharibika ghafla baada ya kusoma hii thread,nimeumia sana kwani nami yamenikuta,tangu nilipozaliwa sijawahi kumuona baba na nimepitia ktk shida nyingi nikiwa na mama yangu mpenzi(nampenda sana),mwaka 2003 nikamuuliza mama kuhusu baba ila mama alilia sana ikanisababisha nami kulia mno na nikaapa sitauliza tena kuhusu baba wala sitahitaji kuonana nae maishani mwangu,mwaka 2006 alipiga simu kwa dada yangu akiniomba kuonana nami wkt nikiwa mwaka wa 2 chuo,nilitoa onyo kali kwa yoyote ndg yangu atakayesababisha mimi na yeye huyo anayeitwa baba kuonana.Sina mapenzi yoyote na huyo na huwa ni vigumu sana kutamka neno baba,hata gf wangu wkt mwingine huwa namuita mama kwa jinsi ninavyowaheshimu wanawake.Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo kuliko wengine,mama yetu alitutelekeza jioni na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine,wakati huo my Late father(may his soul rest in peace)alikua amesafiri kikazi,toka siku hiyo sikumwona mama mpaka nilipotimiza umri wa miaka 13,tuliishi na baba bila ya baba kuoa coz hakutaka mapema tuteseke,mama alipokuja alituona kwa dakika chache tena kwa kulazimishwa na baba,Alipoondoka sikumwona mpaka nilipotimiza miaka 25 alipolazimishwa na marehem babu(apumzike kwa amani)ambae ni baba yake,tulikuja kuonana tena hosptl wakati babu anaumwa na hapo ni baada ya miaka mi3,mara ya mwisho nilimuona mwaka jana nilipoamua kwenda kumwona,kumbuka kwenye msiba wa baba hakuja,to be hornest with u,i don't feel anything for her!Pia sijui umuhimu wake,wala sijui mapenzi ya mama.Napenda nieleweke kua simchukii,najua yeye ni mama yangu,alinizaa na alininyoshesha,lakini haza ni majukumu yake!Hajawahi kunishawishi kwa njia yoyote kuwa yeye ni mama!Sasa kama huyu aliesikia uchungu kwaajili yangu yupo hivi,nitaona vipi umuhimu wa akina mama?Je kama mimi tupo wangapi?JE NI NANI KAMA BABA,I LOVE HIM MUCH,I WISH HE COULD BE HERE!
mulize basi usimuwazie tu mabaya uliza kwann watz hamuwezi kuhoji munapenda kulalama tu..........mi cpendi watu wa ivi bwana ala.........
mulize basi mamako kwanza kabla ya kulalama namna hiyo loh
ww nawe kama ni mwanamke kweli na umesoma na ulishawai kuingia ktk mahusiano huwezi kumchukia mama yako hata cku moja
nakuambia hakuna watu wanaroho mbaya hapa duniani kama wanaume am tellin u
ndoa nyingi zimeficha maovu sana na wanawake wengi wanavumilia koz ya watoto tu basi ila kuhusu wao kupata raha ktk 100 labda 2% ndio wanafuraha sana ktk ndoa zao............hawa watu ni wagomvi sana na cjui hua wanawaza mwanamke ni kitu gani kwao i dont know kwakweli
na pili mama yako atakua anakuchukia kutokana na mambo baba yako aliyomtendea so akikuona ww anapata hasira bado juu ya baba yako na atakua alimueleza huyo baba yako wa kambo dats y huyo baba hakukutesa ww koz alikua naelewa mkewe anakutreat ivo kutokana na pain alizopata kwa baba yako mzazi
pengine alipoibeba iyo mimba alifukuzwa na baba ko na akaolewa mwingine brand new
ila mm ninachokushauri usijudge chochote kuhusu mama yako kabla hujamuuliza why
mi nashangaa kweli kwann usimuulize na ni mama yako ..........mulize umepitia nn mama mpaka wanichukia ivi au kama ukimuuliza ww waweza kumtia hasira sana basi tumia hata nyanyako au shangazi amuulize mama ili ujue ukweli na ukisha ujua ndio utajua jinsi ya kumsaidia jinsi ya kuepukana na machungu aliyonayo
ngoja niachie hapa nisije lia bure mana i love my mama kupitiliza koz najua kuna mambo mengi anayavumilia ila hasemi na she still there 4 us...........[video=youtube_share;DBrZ06tU91g]http://youtu.be/DBrZ06tU91g[/video]
Mama Tuli i real like u!Nimependa sana msisitizo kwenye ujumbe wako,Mungu akubariki na familia yako,duh!