Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo kuliko wengine,mama yetu alitutelekeza jioni na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine,wakati huo my Late father(may his soul rest in peace)alikua amesafiri kikazi,toka siku hiyo sikumwona mama mpaka nilipotimiza umri wa miaka 13,tuliishi na baba bila ya baba kuoa coz hakutaka mapema tuteseke,mama alipokuja alituona kwa dakika chache tena kwa kulazimishwa na baba,Alipoondoka sikumwona mpaka nilipotimiza miaka 25 alipolazimishwa na marehem babu(apumzike kwa amani)ambae ni baba yake,tulikuja kuonana tena hosptl wakati babu anaumwa na hapo ni baada ya miaka mi3,mara ya mwisho nilimuona mwaka jana nilipoamua kwenda kumwona,kumbuka kwenye msiba wa baba hakuja,to be hornest with u,i don't feel anything for her!Pia sijui umuhimu wake,wala sijui mapenzi ya mama.Napenda nieleweke kua simchukii,najua yeye ni mama yangu,alinizaa na alininyoshesha,lakini haza ni majukumu yake!Hajawahi kunishawishi kwa njia yoyote kuwa yeye ni mama!Sasa kama huyu aliesikia uchungu kwaajili yangu yupo hivi,nitaona vipi umuhimu wa akina mama?Je kama mimi tupo wangapi?JE NI NANI KAMA BABA,I LOVE HIM MUCH,I WISH HE COULD BE HERE!
Yes, wapo akina mama wakatili lakini hii ya kutelekeza watoto ni ukatili zaidi.[/COLOR]
Hawapendi kusikia hili neno wenzako_yaani wanaona ni bora ungenyamaza kimya,...kuna kesi nyingi sana tena za kikatili ambazo wanawake ndio watendaji lakn mara zote wanataka kusikia ya kupongezwa na kupambwa(at least umejitoa mhanga hata kama wakipiga mawe ujumbe umewafikia).
Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli wa kwamba hata nyie wanawake mna moyo wa kikatili_ndio maana unaleta hoja za kung'ang'aniza ili tu muonekane watu wema na wenye huruma,...hamna kitu hapo kuna wanawake wabaya zaidi wanyamaAisee,
Situation yako imenitia huzuni kwa kiasi fulani. But kumbuka hakuna kama Mama are you sure huyo unayemwita Baba yako (RIP) alikuwa ni Baba yako kabisa siongei kwa ubaya tafadhali nielewe. But mama huwezi singiziwa hata kidogo, unajua kuna kitu hutokea usimlaumu sana mama yako hujui ni kwa sababu gani walitengana na baba yako na nini kilimtia hasira kiasi hicho. Mpaka akawa anawachukia watoto wake but acha nikwambie ukweli hata kama unasema hataki kuwaona but ukweli uko pale pale mama hapo alipo huwa anasikia uchungu na kuwakumbuka watoto wake asikwambie mtu bana. "UCHUNGU WA MWANA AUJUAE MZAZI"
Ndio katelekeza sasa!,..na jamaa kasema ni mama yake mzazi.Yes, wapo akina mama wakatili lakini hii ya kutelekeza watoto ni ukatili zaidi.
Pole sana mkuu_huo alikuwa baba yako wa ukweli kabisa....so sad.Dena,nani kama mama for what?Kama mtu ameteseka kwa miezi tisa halafu anakufanyia mambo ya ajabu ana maana?Trust me hakufanyiwa lolote baya na baba!I'm sure of that!Awe ni baba yangu wa ukweli ama la i don't care!What i knw ni kwamba alinilea na kunipenda kwa miaka 27 mpaka alipofariki,what else should i care?
Yap_tusipokuwa makini muda si mrefu watatuzidi kete na tutaanza kushikana uchawi na kuanza kuunda vyama vya kutetea haki za wanaume.IGWE,there is nothing to hide,kama kuna wakina mama wasiojijua lazima tuseme,kama hawataki,to hell!