Tafuta hela.
Ahahahahahahah.Watoto siku hizi wanaelewa ninyi.. Ohh jidanganyeni tu. Yani they understand. Wana mute tu . 😂😂😂😂😂
Ukiwa karibu na watoto utajua wanajua vitu vingi mnoo... Be their friends.. Sio tu Baba Baba mtoto mtoto...Ahahahahahahah.
Dah kwel kabisaa.
Siku mwanangu akiwa likizo kwa babu yake wakawa wanapiga stori basi katika ya maongez dogo akamwambia babubyake kuwa " baba angu (mm yani) hana hela kama ww,hana gari kama ww".
Imagine ni mtoto wa miaka 6 tu