This is what Kagame does to avoid meeting other World leaders at Mandela memorial!

Wewe acha uongo wako ,waongopee hao wanyankole wenzako!! Kagame asingeweza kwenda bondeni kwasababu serikali ya Zuma inawapa hifadhi wale mahasimu wake wakuu ambao wananmyima usingizi!!

Are sure? hapo juu niliomba wana jamii tuwe tuna fanya japo simple research, tusiwe wavivu kupindukia au tusiwe na chuki na mtu kiasi tushindwe kutambua ukweli. Mazishi ya Mzee Mandela yarikuwa very disorganized saaana, in fact yalikuwa yamejaa Diplomatic Chaos kiasi cha kuhatarisha usalama wa viongozi waliohudhuria au waliotaka kuhudhuria, kwa taarifa yako viongozi wengi kwa kuliona hili hawakuhudulia, walikwenda kutoa rambirambi zao mapema kabla ya siku yenyewe ya Mazishi, kwani siku hiyo ilikuwa balaa. Fanya research kidogo utaliona hilo hata Obama naye arifanya hivyo. Kiongozi yeyote wa nchi anapo panga safari kuna timu za maandalizi hutangulia, kwa lugha ya Kigeni, huitwa Advance party. so hizi timu huangalia situation na kumshauri Kiongozi. So Kagame kama Viongozi wengine wengi alikwenda South, ila hakwenda siku ya Mazishi yenyewe arikwenda siku ya Ijumaa fungua hiyo link Paul Kagame, Jesse Jackson pay respects to Mandela - YouTube Siku ya Mazishi Kagame alikuwa na Mkutano mkuu wa chama cha RPF kwa taarifa yako hiki ndicho cama tawala nchini Rwanda Mkutano uliokuwa na agenda muhimu sana Agenda ya kukipatia chama hicho Viongozi wa kukiongoza kwa muhura mwingine tena. Turejee kwenye chaos ya shughuri nzima ya Msiba na Mazishi ya Mzee Mandela Usalama wa Rais wa Marekani urihatarishwa sana pale mtu asiyejulikana(hakuwa kwenye program) alipoweza kufika hadi hatua chache toka alipokuwa Kiongozi huyu wa Marekani. Hii imekuwa scandari kubwa sana ndani ya vyombo vya usalama vya Marekani ingawa kwa kumheshimu mzee Madiba hii imefanywa siri kubwa sana. Viongozi mbarimbari walikuwa SA siku ya Mazishi lakini walibaki mahoteli bila kuhudhuria mazishi hayo kwa ukosefu wa Itifaki, Hata Askofu Desmond Tutu Rafiki mkubwa sana wa Mzee Mandela arirudia njiani baada ya kukosa mwerekeo wa shughuri yenyewe, iribidi afanyiwe utaratibu wa dharura kumuwezesha kuhudhuria kwani arishaghairi kwa ukosefu wa Itifaki au mipangirioo mibovu. Hudhuni na Majonzi viripalaryse institutions zote za SA hata kushindwa kufanya organization ya Event. So sioni ajabu kwa Kiongozi wa Nchi kutohudhuria, Nawapongeza sana walioweza kuhudhuria kwani kwa ukweli wari ignore all precautions za Kiongozi wa nchi.
Na Kuhusu Kagame kwenda SA,rejerea hiyo clip Paul Kagame, Jesse Jackson pay respects to Mandela - YouTube
 
Wewe tulishawahi gombana humu..... hivyo sitaki hilo lijirudie..... sitaki majibizano na wewe...... mimi naongea mtazamo wangu kuhusu PaKa..... sasa wewe unaleta mambo ya elimu...... kobA sitaki kujibizana na wewe...... maana wewe ni mtu wa ajabu ambaye jamii yangu haikubaliani kukaa karibu na wewe Please leave me along....go on walking on your vice.....

Umethibitisha ilimu yako ya madrasa
 
Are sure? hapo juu niliomba wana jamii tuwe tuna fanya japo simple research, tusiwe wavivu kupindukia au tusiwe na chuki na mtu kiasi tushindwe kutambua ukweli. Mazishi ya Mzee Mandela yarikuwa very disorganized saaana, in fact yalikuwa yamejaa Diplomatic Chaos kiasi cha kuhatarisha usalama wa viongozi waliohudhuria au waliotaka kuhudhuria, kwa taarifa yako viongozi wengi kwa kuliona hili hawakuhudulia, walikwenda kutoa rambirambi zao mapema kabla ya siku yenyewe ya Mazishi, kwani siku hiyo ilikuwa balaa. Fanya research kidogo utaliona hilo hata Obama naye arifanya hivyo. Kiongozi yeyote wa nchi anapo panga safari kuna timu za maandalizi hutangulia, kwa lugha ya Kigeni, huitwa Advance party. so hizi timu huangalia situation na kumshauri Kiongozi. So Kagame kama Viongozi wengine wengi alikwenda South, ila hakwenda siku ya Mazishi yenyewe arikwenda siku ya Ijumaa fungua hiyo link Paul Kagame, Jesse Jackson pay respects to Mandela - YouTube Siku ya Mazishi Kagame alikuwa na Mkutano mkuu wa chama cha RPF kwa taarifa yako hiki ndicho cama tawala nchini Rwanda Mkutano uliokuwa na agenda muhimu sana Agenda ya kukipatia chama hicho Viongozi wa kukiongoza kwa muhura mwingine tena. Turejee kwenye chaos ya shughuri nzima ya Msiba na Mazishi ya Mzee Mandela Usalama wa Rais wa Marekani urihatarishwa sana pale mtu asiyejulikana(hakuwa kwenye program) alipoweza kufika hadi hatua chache toka alipokuwa Kiongozi huyu wa Marekani. Hii imekuwa scandari kubwa sana ndani ya vyombo vya usalama vya Marekani ingawa kwa kumheshimu mzee Madiba hii imefanywa siri kubwa sana. Viongozi mbarimbari walikuwa SA siku ya Mazishi lakini walibaki mahoteli bila kuhudhuria mazishi hayo kwa ukosefu wa Itifaki, Hata Askofu Desmond Tutu Rafiki mkubwa sana wa Mzee Mandela arirudia njiani baada ya kukosa mwerekeo wa shughuri yenyewe, iribidi afanyiwe utaratibu wa dharura kumuwezesha kuhudhuria kwani arishaghairi kwa ukosefu wa Itifaki au mipangirioo mibovu. Hudhuni na Majonzi viripalaryse institutions zote za SA hata kushindwa kufanya organization ya Event. So sioni ajabu kwa Kiongozi wa Nchi kutohudhuria, Nawapongeza sana walioweza kuhudhuria kwani kwa ukweli wari ignore all precautions za Kiongozi wa nchi.
Na Kuhusu Kagame kwenda SA,rejerea hiyo clip Paul Kagame, Jesse Jackson pay respects to Mandela - YouTube

Tell them....Tell them
 
Watanzania tunapenda empty porojo...unajua kuwa jeshi la Rwanda lina hisa kwenye MTN ya Afrika Kusini ambayo ni kampuni kubwa ya simu Afrika? Na kwa nini PK asitie mguu Tanzania? Tuacheni hisia...tunaonekana watupu kwa sababu ya porojo kama hizi ambazo mtu akiitwa kudhibitisha anashikwa kigugumizi.
Hahahahah, word
 
Back
Top Bottom