eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,654
- 13,797
Mkuu sio kweli kwani mpaka mida hii ndege bado iko hewani kuelekea south
kutoa heshima zake za mwisho kwa mzee Madiba.Jaribu kufatilia vyombo tofauti
vya habari.
PaKa kaona aibu...... tumemshangaa sana walimwengu..... mpaka kaamua kwenda msibani teh.... teh... teh... wewe uliwahi ona wapi mtu atume wawakilishi (kwa mujibu wa Murutongore - PA wake)..... halafu yeye tena aende du hilo ni balaa.....