This is what i think it means to own your life | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is what i think it means to own your life

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1975, Jul 22, 2011.

 1. 1

  1975 Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  When you subtract out of sleeping time, commuting time, working time and time for things you have to do each and every day of your life, most people don't have more than one or two hours each day to do what they like to do-and then would they have the money to do it?

  We have discovered the way for you to learn how to 'OWN YOUR LIFE' by building a home based business, and we have the system for doing it that is so simple any one can do it. It doesn't require SELLING AND THE BEST PART IT WON’T TAKE MUCH OF YOUR TIME.


  NDUGU ,RAFIKI NA MDAU NINAKUALIKA KWENYE SEMINA FUPI PALE MILENIUM TOWER GOROFA YA PILI ITAKAYOFUNDISHA JINSI YA KUMILIKI MAISHA YAKO BILA PRESURE.JUMAMOSI HII YA TAREHE 23/07/2011 SAA NNE ASUBUHI KIINGILIO NI SHILINGI TSHS 2000 TUU.

  IKIWA UTATAKA INFORMATION ZAIDI NIPIGIE MIMI RAFIKI YAKO WA UKWELI KABISA MENLEY MGATA NAMBA YANGU NI 0717031290 .

  Muforwadie ndugu yako,mwenzi wako,rafiki yako na watu wote uwajuao WAAMBIE KUNA FURSA YA KUBADILISHA MAISHA YAO MENLEY MGATA MWENYE NAMBA 0717031290 AMETUALIKA
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante n all ze best
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu ni forever living? Make semina nyingi siku hizi ni forever living na ukiingia nadani wanaishai kuponda biashara zingine zote wakiamini kuuza forever living ndo biashara pekee kwa sasa hapa duniani. Mimi hawa watu nawachukika kitu kimoja, wanaona biashara ya kufanya ni kuuza madawa ya forever living na biashara zingine c chochote,
  je wanataka watu wote wauze madawa?

  Kwakweli mkuu mimi c tahuzuria hiyo semina yako
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,237
  Trophy Points: 280
  Ulitakiwa uishiye hapo tu kabla hujaendelea kuhukumu.
   
 5. 1

  1975 Senior Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Actually hii nimetoa kwa wale wanaopenda kuongeza kipato chako,(FOLLOW YOUR HEART).Hapo ulipo ni kwa sababu ulichagua kuwa hivyo kama hulidhiki napo mungu hausiki na wala usilaumu wazazi wako NI WEWE,NIWEWE,NIWEWE....knowlege is the power nawakaribisha nyote.
   
Loading...