Jackal Malinza
Member
- Aug 28, 2013
- 33
- 4
Hili jini la JKT nikilickia mpaka nazmia[/QU
UTAWAZOEA TU UCJALI!!
watawafanya!Ivi mfano tusipoenda watatufanyaje?
Ivi mfano tusipoenda watatufanyaje?
Jamani tusiwalaumu jkt, they're just too innocent...
mbona walishatangaza tangu awali kuwa intake ya pili, ya tatu na ya nne itakuwepo...
Mbaya zaidi nilishawahi kuwaambia hili mkanivaa usoni, nikaambulia matusi na dhihaka.... Leo wanatranslate usemi wao into action mnaanza kuwalaani
Kwa sababu awamu hii imekugusa ndiyo maana unataka wenzako wakuunge mkono kusema unachokiita 'no'?
Mie nafanya kuimagine kuwa ratiba ya kwenda J.K.T ndio ingekuwa interrupted na vyuo,yani posts zingetoka na kuonesha vyuo kufunguliwa tarehe ambapo J.K.T inatutaka tukaripoti..Tatizo hapa sio sintofahamu,ila ni ule mchecheto na woga wa kadepo ka kakifadha..Nyie subirini mambo yatajichekecha tu wakati huo mkiombea itokee aziwea