This Is The Real Pharmacy.

Habari njema ni kwamba bongo junk food hazijawahi kuwa bei rahisi.

Mihogo fungu elfu 2000 town/mkate 2400.

Nazi 1000 town/korie 3400 litre

Sukali 3400kg/asali 2500 robo.

Machungwa fresh 2500=25/mango juice 2500 litre.

Pizzer moja 10000/makande kwa parachichi haifiki 2000 mgahawani.

Icecream 1000-8000/stafeli ni,fenesi,au topetope halizidi elfu 3000.

Pepsi,coca 500/na muwa mmoja ni 500.

Michapati 250-500/andazi la kuoka 500.

Kung fu,MO,azam energy 600-2500/kahawa ni 100 kikombe.

Kama mtu ataamua kuendelea kutumia ni kwa kiherehere chake.
 
Hua nawashangaa sana watu wanaokula misos ya viwandan then wanajiona wako superior..wakat vjijin watu wana afya kuliko wao wa mjini
 
Dada asante kwa uzi mzuri sana kuna uzi wa chakula humu JF badala ya kujadili vyakula huwa wanajadili na kusifia junks!

Na ndio mana wanatoka ile kitu ambayo wee unapenda mkuu. Hahahah.
 

Dah, aisee umetisha kiongozi.
 
Hua nawashangaa sana watu wanaokula misos ya viwandan then wanajiona wako superior..wakat vjijin watu wana afya kuliko wao wa mjini

Ndio hivyo aisee mazoea hujenga tabia mkuu.
 
Ukila matunda na mboga peke yake utapataje proteins, mafuta (Omega-3), wanga ( nishati)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…