Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo. Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda
Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.
Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyu