This is the next gift to my baby

This is the next gift to my baby

Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo
Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda

Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.

Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.

Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyuView attachment 2441506
Kivumbi 😂😂😂
 
Dah mm nimeharibiwa sana toka jun sihongi mwanamke, nakula akishtuka namtumia natafta mwingine nimeamini adui wa mwanamke ni mwanamke. Mdogo wenu kaniharibu akili sina huruma tena na hawa viumbe
 
kumbuka kulinda afya mkuu

by the way wadad wanazingua kinoma
 
Guys nimekaa nimewaza na kuwazuwa nikaona acha nifunge mwaka na zawadi flani hivi ndogo ila ina thamani kimtindo. Nataka nimchukulie wifi yenu iPhone 13 wenyewe wanaiita macho 3 najuwa sio latest ila naamini ataipenda

Guys nafanya yote kwa sababu ya mapenzi siangalii kama atanipiga matukio mbele huko au vipi...kama ni wa kujielewa atajielewa kama sio wa kujielewa hatojielewa hata kama nisipo mpa zawadi.

Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kupendwa,kudekezwa,kutunzwa acha nimspoil mpenz wangu ni wakati wake huu.

Nb:mzawadie mpenz wako kwa kile ambacho unauwezo nacho....nampenda sana mpenz wangu huyuView attachment 2441506
Huna akili
 
Dah mm nimeharibiwa sana toka jun sihongi mwanamke, nakula akishtuka namtumia natafta mwingine nimeamini adui wa mwanamke ni mwanamke. Mdogo wenu kaniharibu akili sina huruma tena na hawa viumbe
Hahaha
 
Back
Top Bottom