This is the most disrespectful thing the Mount Kilimanjaro Marathon have written in their website

Ebu ngoja nilewe ndipo nikuje nisome hizi maandishi za lugha ya bepari, maana mhhhhh......
 
Haya sio maandishi mi Mbona naona kama umepanga sisimizi lwenye karatasi
 
Many runners bring small gifts with them to give to the Tanzanian runners. The number one gift that all Tanzanian runners want are "OLD SHOES". The Tanzanians are very poor and truly appreciate your old running shoes. So if you have any old shoes that you do not need anymore, please bring them with you. The Tanzanians will appreciate any thing you bring. I save the free soap, shampoo, etc. that I get in hotels when I travel. I then wrap them together like a gift and give them out at the awards ceremony as something a little extra for the Tanzanian runners. I also bring old prescription eye glasses, T shirts, time watches, etc. They appreciate everything.


WTF huu ni udhalishaji aisee nani kaandika ujinga huu hata km sie ni maskini sio kwa kudhalishwa ivyo
Tatizo hata kama tunaona huo udhalilishaji bado ndugu zetu wengi wa kibongo bado wanaendekeza kuomba omba omba na matumizi ya mitumba (second hand, used things).

Tufanye kampeni ya kupinga kutumia vitu kama hivi.
Ndio maana tunaoneka kama ndezi. Iweje huyo boya azoe mabaki ya sabuni na shampoo hotelini zile alizotumia aje kuwapa wabongo?
 
After all the runners come in, some take as much as six hours, we hold the awards ceremony. Unfortunately, the Tanzanians are very fast and always finish hours ahead of the Americans and do not want to wait for the Americans. I serve them sandwiches and drinks to help them wait. An important official from the American Embassy in Dar Es Salaam always joins us for this event, and also the local officials who help give out the medals and awards.



This article is biased on so many levels, I hope chama cha riadha Tanzania can look into this
 
Huyu alieandika hii para kwanza kiingereza ni kibovu. Pili wanaokimbia sio wamarekani na watanzania TU bali kuna watu kutoka nchi mbalimbali na wanaoshinda wanakuwa wenzetu kutoka Kenya. Sitaki kuwa mchambuzi wa lugha ya watu ila kama unataka kuweka kitu ili kisomeke na wenzetu basi lipia kwa watu waliosemea uandishi na wataiweka vizuri kuliko huu uchafu kisa tu una komputa na keyboard ukadhani ndo uandishi. Angalia hapa anaandika "OLD SHOES", kuna kitu kinaitwa old shoes? ni "second hand shoes" maama ukisema old shoes maana ni brand ya kitu au jina la kitu. Kama vile old spice deodorant au kuna shule inaitwa Old moshi. Labda huyu anamaanisha kuna bithaa yake inaitwa "OLD SHOES"
 
Uandishi pia hauko sawa. Kutoa aibu hiyo page inatakiwa kuandikwa upya
 
The writer is ignorant, biased and racist, PERIOD! Ukisoma ukurasa mzima imejaa viashiria vya ubaguzi na ujinga wa hali ya juu.
1. Sio watanzania tu na wamarekani wanashiriki mbio hizo.
2. "Unfortunately, the Tanzanians are very fast..." inadhihirisha kuwa "watanzania" wanashinda kwa bahati mbaya na ilitakiwa "wamarekani" ndio washinde.
3. Kuwapa medali "wamarekani" wote na kuacha mataifa mengine ni ubaguzi
4. Hizo aya mbili za mwisho ndio kabisaaaa..haina utu wala ustaarabu hata kidogo. (Goes against basic human decency and dignity)

Hii kurasa ni yakushitaki na kuhakikisha aidha inaondolewa au inarekebishwa, na mwandishi aombe msamaha kwa hadhara.
 
Duh! Who is this guy? So he owns and manages the marathon? Cause he's talking about himself only. Sijui ana elimu gani kwa kweli. Hii ni aibu ya mwaka!
WaTz ni masikini kiasi cha kufungashiwa sabuni za hotelini na kutegemea viatu mitumba?
 
Ahsante kwa taarifa, nina imani walio kwenye usingizi wataamka na kuchukua hatua stahili!
 
Mwandishi wa hii thread, naomba uthibitishe kuhusu umiliki wa website hii Kama Sio ya as Watanzania wenyewe basi itakuwa ya watu wa nchi majirani zetu ambao ni failures.

Napenda kuwathibitishia kwamba hakuna kitu km hich,binafsi nimekimbia marathon za pale moshi 8 yrs consecutive toka niko form 1. zawadi utolewa kihalali na ni zawadi nzuri hundi za dola,na hata kama mtu hajashinda km mm huwa mshiriki tu lkn napata T-shirt mpya, kofia na mfuko wenye mazagazaga kadhaa.
 
Hawa kama.si ...... sijui hata hicho kidhungu naamini nichakicgaga cha pale paleeee wakimbiza upepo
 
Ni kwel nchi yetu ni maskini lakini sio kwa kiwango hiki. Athari ya lugha hii itawafanya hao wazungu wabebe vitu hata vyenye athari kiafya kwa watu wetu, na si ajabu watakua na picha wanatucheka huko wakiangalia jinsi tunavyofurahia vizawadi vyao.

Wizara ipige marufuku hizo zawadi zao. Shht!
ed402dcc19335291ab1d8a968ef1805a.jpg
 
sasa kama munaendaga kukimbia na yeboyebo labada,kisha mnapewa viatu watu waandikeje???
 
Wabongo wengi wanapenda mno kuomba omba vitu na vimsaada kwa wazungu hasa watalii yawezekana huyo Mama kaandika kwa nia njema.Umaskini wa kifikra na umaskini ni mbaya sana utakuta kijana amekamilika afanyi kazi,kazi yake ni kuomba mzungu vimsaada na wakati mwingine uishia kupewa hata chupa ya maji.
 
Back
Top Bottom