This is serious sasa!

This is serious sasa!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Mahadhi, naye anaongozwa na msafara. Msafara wake unaongozwa na pikipiki ya askari una magari yapatayo tisa. Tena,kuna msafara mwingine wa maafisa wa Wizara hiyo. Kila mtu Serikalini sasa ana msafara? It is too much!
 
Katiba yetu hairuhusu naibu Waziri kuongozwa na msafara,haya ni matumizi mabaya ya madaraka.
 
Ndo ujue nchi inaongozwa na macheck bobu..! Nahisi hata salma kiwete ana msafara
 
Mimi nataka kuhamia rwanda aisee..kule msafara pekee ni wa rais na ni magari mawili tu na pikipiki moja. (fullstop)
 
If all leaders do not experience the traffic jam then none of them will be part of the solution am afraid
 
Tumeanza kuelewa. Huwa najiuliza chanzo ni nini cku zote izo watu tupo tupo hata hatureason,mambo yanajiendea kiolera. Mbona majirani zetu walishazinduka? Lakin naona kama vile tunakuja kuja. Tuendelee
 
U
Unauliza tena? Bongeee la msafaraaaa,,hujui mke wa raisi ni raisi?
Mie nikistukia ni msafara wa salma au wa ridhiwani nazima gari katikati ya barabara..! Liwalo na liwe, cant give them a way
 
hv ni nani mwenye jukumu la kufuatilia kosa kama ili?
Hakuna wa kumfunga paka kengele maana wote ndio wale wale,hapa mpaka waje wapinzani na kulipigia kelele ndio utaona wanaacha ubaladhuli wao.
 
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Mahadhi, naye anaongozwa na msafara. Msafara wake unaongozwa na pikipiki ya askari una magari yapatayo tisa. Tena,kuna msafara mwingine wa maafisa wa Wizara hiyo. Kila mtu Serikalini sasa ana msafara? It is too much!

cheza na made in tanzania wewe!
hii ndo TAZMANIA bana!
 
Si jambo la ajabu sana ila inategemea muktadha. Hata timu za mipira,VIPs na wengineo wanapewa 'escort' ya polisi.
 
Back
Top Bottom