Poa mkuu, tatizo ni kwamba hiyo future house yangu sina option, na siijengi mimi. Ila nimependa ndoto zako mkuu kwa sababu afikiriavyo mtu ndivyo alivyo, huwezi kufanya zaidi ya uwazavyo. Ni muhimu sana kuaim high na kuamini kwamba unaweza fanya chochote kama nia ipo. Thank God umepona na tumejumuika tena JF.