This is Msamvu bus terminal stand Morogoro

This is Msamvu bus terminal stand Morogoro

Hio ndio stand bora kwa sasa afrika mashariki na kati.

Stand ya ubungo jijini Dsm ambayo ndiyo stand mama kwa Tanzania yenyewe imekuwa kama gofu lilopigwa bomu na mgambo wa Al qaeda katika vita ya Iraq kwa namna ilivyokuwa hovyo kwa kuwa na uchakavu wa kila namna na majengo yaliyochoka sana pale stand ya ubungo
Tena kinachuma zaidi kutoza watu TSH 300 bila sababu za msingi, ile stand ilishavunjwa hakuna huduma za kijamii kwanini walivunja kabla hiyo mpya haijakamilika? Kwanini bado wanatoza ushuru? Nilidhani jiji likiwa chini ya ukawa hii kero itatatuliwa lkn wapi hakuna anaejali.
 
Du kidogo imefanana na Victoria bus terminal
Hongera sana
Ingepigwa picha kwa ndani pia kwenye office za tickets
 
Mleta mada ukishaweka neno Terminal huweki tena neno Stand.
 
Hii inaweza kuwa stand bora tanzania
 
Mkuu jana usiku si ulikuwa unatafuta mwanamke wa hapo?
 
Unataka spoon feeding? Wewe ni mtoto chini ya miaka 5 endelea kukua zaidi
Spoon feeding ndio nini mkuu? Nilichoomba ni kuwekewa picha ya stand ya Tanga ili ku support hoja yako kama ulivyosema!
 
Back
Top Bottom