This is how giraffes sleep:

Na hivi ndivyo wanavyopigania vimwana, wakati mwingine hadi kupoteza maisha.


Hahhaahha hicho kimwana kitakua bonge la toto wanapigana hadi kuuwana....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
hahahahahahaha lol!!!!! Chezeya kupenda weye!!! Mambo ya Uforo hata kwa Twiga pia kama kawa. Umeuangalia lakini ugomvi wenyewe!?


Hahhaahha hicho kimwana kitakua bonge la toto wanapigana hadi kuuwana....
 
...nakumbuka qatar airways kila nikiwaona hawa wadudu...
 
hahahahahahaha lol!!!!! Chezeya kupenda weye!!! Mambo ya Uforo hata kwa Twiga pia kama kawa. Umeuangalia lakini ugomvi wenyewe!?


Nimeangalia silaha yao kubwa ni shingo nlifkir watapigana mashuti
 
Reactions: BAK
Mie hapo nimeona kitu tofauti na watu walichoona, Kasinde amepata new style ya kudinyana. Na hapo naiita twiga style, hapa nshaifanyia mazoezi najipingdaje na mshali unapitia kwa hapaa, hehehehe asante mtoa mada umenipa new style wacha nile raha mie, ujana wakimbia looh
 
Angalia na ya wakati anakunywa maji.

yaani kuwa na kiasi ni muhimu kila nyanja
 
Kumbe ndiyo maana wakiwasafirisha kirahisi kwenye ndege
 

Njoo tutest hapa
 
Na hivi ndivyo wanavyopigania vimwana, wakati mwingine hadi kupoteza maisha.


Hahaha, hawana tofauti na binadamu
 
Last edited by a moderator:

NiPM tukajaribu wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…