This is how divided we are

Hujawasikia voters wakiwasifia wanasiasa
" aisee gari ya maji MAREFU ni kiboko. Kuwasha hatumii ufunguo halafu badala ya namba ni jina lake:"
Ukisogea Kenya ndio worse. Mtu anaiba 37 billion ksh lakini watu wa kwao ambao ni maskini wa kutupwa wanamtetea kana kwamba watagawiwa pesa kidogo.
 
Masikini ni rahisi sana kuwa manipulate wakupigie Kura. Wewe nenda nyumba ya maskini wakati wa lunch, kula chakula Chao. Piga picha. Jioni utasikia " aisee mimi kura yangu kwa Deceiver, ni mtu wa watu, Leo amekula ugali na dagaa kwa mama Juma. Aisee Deceiver ni mtu wa watu kweli kweli. Au mpe lift kwenye gari yako halafu akae mbele.
 
Too simplistic. Non voters ambao ndiyo wengi are no where to be seen.
 
A doctor, an engineer and a politician were arguing about the oldest profession. The doctor said "Eve came from Adam's rib which meant surgery is the oldest profession". The engineer said "God made order out of Chaos, so that was the first one." The politician said "who do you think made the chaos?"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…