This is good

Wenyewe wanaelewana tatizo si sie ujinga na umasikini ndiyo unatusumbua tu,hata sass hivi tukiambiwa Magufuri alikuwa havunji katiba tutakubali kwani tumeshakubali mangapi!
 
Kuna kada wa ccm kalalamika eti kwani Pombe anaongea na Lowasa.
Sijui alitaka wapigane?
 
Aliposema atawalinda waliomtangulia hakukosea Ila kikubwa ktk hili la Leo Mh.Magufuli kasema imekua ni muujiza Leo kwa kushikana mkono na Mh.Lowasa
 
Mange kimambi povu linamtoka huko insa siasa mchezo huu hauitaji hasira ukiwa na hasira utaumia sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…