This Is For you Miss Chagga!!

Tembosa ile hadithi ya kusisimua yule mke mtu aliyetaka kuzaa na wewe itaendelea lini?

karibu tujuze yaliyojiri
M CM tafadhali mkuu...
tunasherehekea humu.. Tembosa amesahau machungu yote kwa sababu ya mtoto wa kichagga miss chagga....hebu tuwaache kidogo wafaidi hanimuni yao!
 
Last edited by a moderator:
kama ungekuwa unajua from the begining usinge ongea haya... ni sawa na mtazamo wako ni mzuri pia ...
si unajua.....lkn si unajua...si hapa tu mimi nashangaa hata facebook...unakuta mtu anapost kila kitu kinachotokea kwenye maisha yake ya mapenzi either na mkewe au girlfriend.....huwa najiuliza ikiwa public mapenzi yanakua mazuri zaidi....eg mtu kukwambia nakupenda mkiwa pamoja....na akija kuandika mpaka jf au facebook inakua na uzito zaidi...? ila naona kama kuna kaelement either cha kutokujiamini au usanii....any way ni mtazamo wangu if at ur serious u two...
 
okey friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…