This Is For you Miss Chagga!!

Hivi bado mnatumiaga ile dawa ya rangi ya green apple kuulia wadudu?vipi vinyonga wamepungua kwenye matawi?
Huku Rombo kulishakucha bana... ni saa mbili niko shambani hapa napogolea kahawa matawi...
 
Hivi bado mnatumiaga ile dawa ya rangi ya green apple kuulia wadudu?vipi vinyonga wamepungua kwenye matawi?

Ile morututu wa kijani... tunaitumia sana. Usipotumia ile vile vidudu washa watakulamiza... vinyonga vilipungua sana... kuna mzungu alikuja akanunua alfu nane nane... tuliviuza sana aisee
 
Yaaani zao la kahawa lilisaidia sana kutulipia ada nalipenda sana
Ile morututu wa kijani... tunaitumia sana. Usipotumia ile vile vidudu washa watakulamiza... vinyonga vilipungua sana... kuna mzungu alikuja akanunua alfu nane nane... tuliviuza sana aisee
 
Hivi Tembosa na misschaga wako wapi?au ndo wameshahamia kwenye chumba cha waziri mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…