This Is excess Love, sema kweli

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Tabia na maisha ya watu yanatofautiana kutokanana na mazingira waliyopo wahusika ila kwa wenzetu wao wana upendo wa dhati nadhani.

Juzi nimetazama habari, katika ndege moja huko ughaibuni mwanaume alidiriki kumpisha mkewe seat ilimradi alale kwa kujinafasi kwasababu ya ufinyu wa viti vya ndege isingetosha kwa mkewe kulala.

Sasa Je kwetu hapa ni wanaume wachache wenye upendo wa namna hiyo ule ni upendo usiomithirika.

Nadhani iwe funzo kwetu kutazama uhalisia wa mapendo ya wenzetu kwa wake, wachumba au watoto wao.
 
Hivi asingeweza kujilaza mapajani mwa mumewe hadi ifikie hatua ya kusimama?
Anyway sijawai panda ndege sijui ata seats zipoje
 
Yani binadamu tuna akili fupi, yani kusimama tu kukatosha kuonyesha kuwa anampenda upendo wa juu sanaaaaa!!!!
 
Kwahiyo huyo Mwanaume akawambia wamrekodi au waliandaluwa kurekodi upendo ule.

Upendo huo mbona hata bongo movie wanaonesha
 
Itakuwa mpaka ulaya Kuna 'limbwater' SIO bure aisee 😐😐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…