mkuu ondoa 'is' kwenye signature yako ili isomeke 'the future belongs to...au badala ya belongs andika is belong ili isomeke 'the future is belong to....kama nimekosea nisahihishe manake na mimi lugha ya kiingereza nilijifunza kuanzia darasa la tatu mpaka form four tu,kwenye shule za serikali!