This is a beautiful woman

This is a beautiful woman

Nimerudia nacheka mwenyewe ujue, hiyo virigin ndo alikuwa anamaanisha virgin? Nimeanza kuelewa kidogo ila hiyo dodgy mimi kwa kweli niliwaza tu anayejua doggy style
Haya mawazo yangu nayajua mwenyewe kbsaa
hahaha doggy style tena oooho!
 
Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake
Kwa tafsiri hii kwa humu JF ,mtasubiri sana ,wanawake wenyewe hawa ,mmmh
 
Back
Top Bottom