This is a beautiful woman

This is a beautiful woman

pamoja na vigezo vingine educated women amesema wana walakini,sasa wewe unasema unapinga badala ya kuunga hoja,lol
Huo uwalakin ame uweka kama ku poke fun siyo kama yeye hoja yake ndio hiyo.

Kauli yangu ina simama simuungi mkono hoja. Pia Siyo wana walakini (dodgy)
Ni wabovu abslutely, kwa hiyo simuungi mkono kusema eti something dodgy

Nashukuru lakini kwa concern yako, my point stand.
 
haya mkuu,ngoja nikuache
 
Haha,yalikutokea nini, ila sio wote mbona super woman Joyce kiria yupo opposite na mtazamo wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sipendi mwanamke anaye jifanya ana jua
Na super woman ni mmoja wao.
Ndio maana unaona akili zake.

But yule aiyo msomi ika ana career nzuri ndio ina mspoil
 
Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]
 
Back
Top Bottom