NonsenseWe all know how hard it has been for our people in Tanzania to access clean water for drinking and other domestic activities.
There have been a lot of promises from politicians, and a lot has been done to mitigate the water crisis in Tanzania, but unfortunately, not much has been achieved to get rid of the problem.
Well, President Samia Suluhu is turning the tables on this. She's coming to an end if not to mitigate the problem to heights that have never been met in Tanzania's history. How will that happen?
1. Tanzania expects to launch sustainable water projects in 28 towns, out of which 24 will have their projects funded by the Exim Bank of India at the value of 500 million US dollars.
2. The procurement procedure to acquire contractors for 24 towns is completed.
3. Places like Ifakara, Wanging'ombe, Kayanga, Makonde, Njombe, Makambako, Manyoni, Songea, Sikonge, Chunya, Kilwa Masoko, Rujewa, Mugumu, Geita, Chato, Zanzibar, Singida Mjini, Mpanda, Chemba, Mafinda, Urambo Kaliua, Pangani, Rorya/Tarime & Chamwino.
4. In the coming financial year, Tanzania will implement 1,029 water projects, of which 648 are continuing, while 381 are new, most in rural areas.
5. Implementing the new water projects will cost a whooping of 95bn/ shillings.
6. Minister Aweso tabled the Ministry's 709,361bn/- budget, listing water project priorities to be implemented in the next financial year.
This kind of investment had never happened before since we attained independence. President Samia has been consistently doing wonders since she took office in early March 2021.
ni sawa na kusifia kibaba cha unga kilichopatikana wakati maelfu ya watu wanakufa njaaDuuu, kwahiyo isisemwe miradi inayoendelea kisa kuna wenye shida?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utadhani nchi imepata uhuru March 2021
Aibu kubwa sn[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Uneona yametekelezeka?Hii ndio shida kubwa yetu sisi Watanzania wengi. Yani hatuna jema hata kidogo. Hata kama kweli nalipwa kama unavyodai, lakini niliyoandika hapo ni kweli tupu. Ndugu zangu wanakunywa maji machafu kama unavyosema, kama ni kweli, wangeshalikufa muda sana. Acha uwongo.
Yaani hivyo vijiji vinashida ya maji hatari; hadi kuna NGO Moja huko inapiga pesa kwa kutumia hiyo fursa; wamechimba visima kea ajili ya kuuza majiTatizo lako unaishi Arusha mjini ndiyo huko unapewa pesa, anzia kijiji cha kwa Olesendeka, Landanai, Lemkuna, Loiborsoit A na B, Kitwai A na B, Naberera, Moipo, Namalulu,Ngorika, Ruvu Remit, Sukuro, Terrat, Orkesumet kwenyewe makao makuu ya Wilaya, niambie kuna mradi gani wa maji safi zaidi ya kunywa wanayokunywa wanyama?
Yao alafu utopolo tu kaandika;Umetema yai kiwango cha juu sana
Kumbe unapahafamu mkuu?Yaani hivyo vijiji vinashida ya maji hatari; hadi kuna NGO Moja huko inapiga pesa kwa kutumia hiyo fursa; wamechimba visima kea ajili ya kuuza maji
Hii ndio shida tuliyonayo watanzania wengi tu. Sawa una haki ya kutoa maoni yako, lakini kwanini unashindwa kutumia lugha ya staha? Haiko hivyo, ni kweli Rais Samia Suluhu amefanya jambo ambalo kwa miaka 60 nyuma, hakuna Rais aliyewahi kufanya. Huwa napenda sana kuingia katika mijadala inayoheshimu zaidi haki na mipaka, napenda pia mtu aje na hoja na sio kubwata. Tafadhali, soma tena tuzungumze, sitaki mihemko.Nonsense
Pesa ni kodi ya wananchi
Amefanya amefanya blah blah na kizungu chako cha nanilii bora ungeandika kwa lugha ya Taifa
Acheni kufanya watu wajinga
Kusifu na kuabudu
Maji maji safi ya kunywa yako wapi acha uongo
Utakunywa maji ya bomba acha kutufanya mazuzu
Hivi mkoje lakini?
Unataka ni uwaziri ubunge ukuu wa mkoa
Tunasema tu ukweli, sio kosa, Rais Samia Suluhu amefanya kweli, na tunapaswa kushukuru kwa hilo.ni sawa na kusifia kibaba cha unga kilichopatikana wakati maelfu ya watu wanakufa njaa
NGO gani hiyo?Kumbe unapahafamu mkuu?
Ukiachilia ujinga, nchi hii ina matatizo makubwa sana ya watu kuwa na wivu.Yao alafu utopolo tu kaandika;
Fuatilia, acha kusikia sikia. Soma.Uneona yametekelezeka?
Hebu punguzeni mapamvio basi. Yaani hata contract zenyewe haxija sainiwa; watu mnasifia.
Alafu si nasikia ule mradi wa maji wa ziwa victoria umekufa? As u ndio huu umeunganisha hapa.
Kahaba wa twita huyu hajui loloteWamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Kahaba MAMA AKO.Kahaba wa twita huyu hajui lolote
Tulia we muuza papuchi wa twita JF watu wana akili na elimu kubwa usitafute mabwana kwa kupost uhalo.Kahaba MAMA AKO.