Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 425
Hii ndio shida kubwa yetu sisi Watanzania wengi. Yani hatuna jema hata kidogo. Hata kama kweli nalipwa kama unavyodai, lakini niliyoandika hapo ni kweli tupu. Ndugu zangu wanakunywa maji machafu kama unavyosema, kama ni kweli, wangeshalikufa muda sana. Acha uwongo.Wamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Wamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Tunanyoosha..Wamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Si unaona kumbe miradi mingi inaendelea na sio mipya.4. In the coming financial year, Tanzania will implement 1,029 water projects, of which 648 are continuing, while 381 are new, most in rural areas.
Duuu, kwahiyo isisemwe miradi inayoendelea kisa kuna wenye shida?Wamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Anavyosifia utadhani Tz imepata uhuru 2021Duuu, kwahiyo isisemwe miradi inayoendelea kisa kuna wenye shida?
Mtaendelea kufuatana na ng'ombe mpk mfeTunanyoosha..
Brain washing? It is the same party, CCM, in power since we attained independence. If ur a kid u deserve praise, or else a big stone wrapped in ur thighs and dropped in the Indian ocean.We all know how hard it has been for our people in Tanzania to access clean water for drinking and other domestic activities.
There have been a lot of promises from politicians, and a lot has been done to mitigate the water crisis in Tanzania, but unfortunately, not much has been achieved to get rid of the problem.
Well, President Samia Suluhu is turning the tables on this. She's coming to an end if not to mitigate the problem to heights that have never been met in Tanzania's history. How will that happen?
1. Tanzania expects to launch sustainable water projects in 28 towns, out of which 24 will have their projects funded by the Exim Bank of India at the value of 500 million US dollars.
2. The procurement procedure to acquire contractors for 24 towns is completed.
3. Places like Ifakara, Wanging'ombe, Kayanga, Makonde, Njombe, Makambako, Manyoni, Songea, Sikonge, Chunya, Kilwa Masoko, Rujewa, Mugumu, Geita, Chato, Zanzibar, Singida Mjini, Mpanda, Chemba, Mafinda, Urambo Kaliua, Pangani, Rorya/Tarime & Chamwino.
4. In the coming financial year, Tanzania will implement 1,029 water projects, of which 648 are continuing, while 381 are new, most in rural areas.
5. Implementing the new water projects will cost a whooping of 95bn/ shillings.
6. Minister Aweso tabled the Ministry's 709,361bn/- budget, listing water project priorities to be implemented in the next financial year.
This kind of investment had never happened before since we attained independence. President Samia has been consistently doing wonders since she took office in early March 2021.
Tatizo lako unaishi Arusha mjini ndiyo huko unapewa pesa, anzia kijiji cha kwa Olesendeka, Landanai, Lemkuna, Loiborsoit A na B, Kitwai A na B, Naberera, Moipo, Namalulu,Ngorika, Ruvu Remit, Sukuro, Terrat, Orkesumet kwenyewe makao makuu ya Wilaya, niambie kuna mradi gani wa maji safi zaidi ya kunywa wanayokunywa wanyama?Hii ndio shida kubwa yetu sisi Watanzania wengi. Yani hatuna jema hata kidogo. Hata kama kweli nalipwa kama unavyodai, lakini niliyoandika hapo ni kweli tupu. Ndugu zangu wanakunywa maji machafu kama unavyosema, kama ni kweli, wangeshalikufa muda sana. Acha uwongo.
Hadi amesahau kua awe Samia, Jiwe au JK Serekali bado ni ya CCM,hiyo kusifiana na kukandiana ni zuga tu! Sema kwa sababu hatuna Upinzani power full wa kuitetemesha CCM!!!Wamasai wenzako Monduli, Simanjiro na Kiteto wanakunywa maji machafu kupita kiasi huku wewe unapewa virushwa rushwa kusifia ujiga
Sema hatuna tume huru ya uchaguzi ndiyo maana anajipendekeza CCM apate uteuzi huyu mpuuzi namfahamu vizuri snHadi amesahau kua awe Samia, Jiwe au JK Serekali bado ni ya CCM,hiyo kusifiana na kukandiana ni zuga tu! Sema kwa sababu hatuna Upinzani power full wa kuitetemesha CCM!!!
Utadhani nchi imepata uhuru March 2021Hadi amesahau kua awe Samia, Jiwe au JK Serekali bado ni ya CCM,hiyo kusifiana na kukandiana ni zuga tu! Sema kwa sababu hatuna Upinzani power full wa kuitetemesha CCM!!!
CCM inajua kucheza na akili za Watanzania!!!Brain washing? It is the same party, CCM, in power since we attained independence. If ur a kid u deserve praise, or else a big stone wrapped in ur thighs and dropped in the Indian ocean.
😆😆😆Anavyosifia utadhani Tz imepata uhuru 2021
Huyu mdada ni mjinga sn
Duuuh, umekulia uhindini, umesoma uhindini na unatafuta mlo wako chini ya kwapa za siasa....nani kakwambia wakinywa hayo maji wanakufa?Hii ndio shida kubwa yetu sisi Watanzania wengi. Yani hatuna jema hata kidogo. Hata kama kweli nalipwa kama unavyodai, lakini niliyoandika hapo ni kweli tupu. Ndugu zangu wanakunywa maji machafu kama unavyosema, kama ni kweli, wangeshalikufa muda sana. Acha uwongo.