utafiti uliofanywa na east african media associations taasisi ambayo imekua ikifanya tafiti za kisiasa kwenye chaguzi katika eneo zima la maziwa makuu (pre_judgement results) taasisi hii ndio iliyo bashiri ushindi wa rais uhuru kenyatta, pierre nkurunzinza na marais wengi wa eneo la maziwa makuu.. Umetoa matokeo ya maoni ya watanzania juu ya nani anafaa kuwa rais wao kati ya walio jitokeza kuutaka urais mwaka huu, majibu ya utafiti huu, umegawanyika kikanda, na mijini na vijijini (rural and urban clusters) unaonyesha kati ya kanda sita za nchi ya tanzania mheshimiwa john pombe magufuli anaingoza kanda tano na lowasa kanda moja tu ya kaskazini pekee, kwa mgawanyo wa mijini na vijijini mheshimiwa magufuli anaongoza kote mijini ni 56% na vijijini ni 84% kwenye matokeo ya ujumla kitaifa mgombea wa ccm mheshimiwa dr john pombe magufuli anaongoza kwa 73%dhidi ya lowasa mwenye 22%.