ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Kama kwao hawana hizo barabara mbovu tulizonazo si wataona zetu bombaNi mtazamo wao tu.
Umeongea kitu cha ukweli kabisa. Wageni mara nyingi wanajituma. Wenyeji kazi kulialia tu hata Ulaya wenyeji wavivu wavivu ni walalamishi sana.Nilienda kutembea Ghana,nilikutana na wabongo wanapiga hela pale jamaa katoa VAT kwa wafanyabiashara kutoka nje ya Nchi..Raia wanalalamika maisha magumu hiyo ni kanuni mgeni kupiga hela ugenini..
Acha mawazo finyu ya kufikiri kuajiriwa hakuna taifa duniani lilifikia hilo lengo kwa kila Mwananchi wake, tena kwa Tanzania hii kila kona pesa zimelalaHata mtu akitoka somalia na sudani kusini lazima aisifie Tanzania, vipi mtu akitoka Kenya anaweza kuisifia Tanzania..
Binafsi mara ya kwanza nafika Joberg nikaona hapo ndio dunia ilipo kumbe dah tembea uone..
Suala sio kujitahidi kupata hizo ajira bali suala ni je tunaendana na soko la ajira hasa international market, Ajira nyingi sana za kusogeza maisha zipo kimataifa namaanisha makampuni ya kimataifa ambayo yanaangalia usmart wa mtu kichwani, uelewa, exposure na mawasiliano... hapo watanzania wengi sana tunafail na kuendelea kubanana kwenye kazi zetu za kiserikali na mashirika ya umma tunakoongea lugha moja..
Ulishawahi kujiuliza kwanini watu wengi wanajazana kwenye interview za serikali, lakini kazi hiyohiyo ikitangazwa international company fulani hawajazani na huishia kujichuja wenyewe, Mfumo mzima wa shule zetu unaleta shida kwa vijana wetu walio wengi na kuwatengenezea uoga, mawasiliano finyu, na uvivu..
Tatizo hawa vijana ujuaji mwingi. Hawajui hata attitude zao ndio sababu vijana waKenya na Uganda wanachukua ajira zao na kuwaburuza. Hawa niliowaona mimi ni wachache tu, ukitembelea hizi sehemu za starehe 5* utawaona kibao wanaenjoy maisha ya TZ wakati vijana wetu kazi kuponda.Acha mawazo finyu ya kufikiri kuajiriwa hakuna taifa duniani lilifikia hilo lengo kwa kila Mwananchi wake, tena kwa Tanzania hii kila kona pesa zimelala
Itakuwa unawashwawashwa wewe....Nipo sehemu natazama mpira, pembeni yangu wamekuja kukaa vijana watatu umri kati ya 25-28 hivi.
Kwa kuwasikiliza accent ya ninegundua ni waUganda. Hawa vijana nahisi wanafanyakazi kampuni moja ya mafuta, nimeona mmoja kavaa tshirt yenye nembo ya hio kampuni.
Aisee hawa vijana muda wote maongezi yao ni kusifia maisha mazuri Tz na wanavyosafiri mikoa yote ya Tz kikazi. Wanasifia sana barabara zetu hasa nyanda za juu kusini. Na nikiwaangalia naona kabisa watakuwa wanalipwa vizuri.
Sasa wewe kijana wa kiTz endelea kulalamika mitandaoni nchi mbaya haina ajira blah blah wakati wageni wanakuja na kupata kazi na kuishi vizuri.
Tusahau kuhusu 'uzuri' wa nchi, tuangalie fursa chache za ajira kwanini zinachukuliwa na hawa wageni....Ukijilingnisha na alie chini yako utajiona upo juu lakini kama unataka kusonga jilinganishe na waliokuacha mbali. Hapo Kenya tu wametuacha sana kwenye miundombinu ya barabara pengine wao ndio ingekuwa benchmark nzuri
Sijaelewa maana ya huu Uzi....!! Bado nakutafakari wewe ulie andika....!!Nipo sehemu natazama mpira, pembeni yangu wamekuja kukaa vijana watatu umri kati ya 25-28 hivi.
Kwa kuwasikiliza accent ya ninegundua ni waUganda. Hawa vijana nahisi wanafanyakazi kampuni moja ya mafuta, nimeona mmoja kavaa tshirt yenye nembo ya hio kampuni.
Aisee hawa vijana muda wote maongezi yao ni kusifia maisha mazuri Tz na wanavyosafiri mikoa yote ya Tz kikazi. Wanasifia sana barabara zetu hasa nyanda za juu kusini. Na nikiwaangalia naona kabisa watakuwa wanalipwa vizuri.
Sasa wewe kijana wa kiTz endelea kulalamika mitandaoni nchi mbaya haina ajira blah blah wakati wageni wanakuja na kupata kazi na kuishi vizuri.