Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Karibuni Tanganyika!"Kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;"
What happened to the like button here yawa?Poleni wanaEmbakasi Praycell.
Tatizo ni makanisa yenu, yamewadanganya uongo mwingi sana kuhusu dhambi, hata wakajipa mamlaka ya kuzuia tendo la asili, ngono, ngono ni tendo la asili la kuutibu mwili, ndio maana jike ya ngombe ikiwa kwa joto inaweza kupiga teke ikaua mtu, hiyo ni natural.
Wapuuzi wataanza kumjudge Brother Ocholla as if wao ni wasafi kama malaika, huu ni ujinga, uoga wa kutoonekana, na sio uoga wa kutotenda. Badilini mitazamo yenu kwanza, kisha mtauona utukufu wa Brother Ocholla tena.
Warumi 3:23
Karibuni Tanganyika!
What happened to the like button here yawa?
Kula LIKE zangu kama tano hivi.
Asante broda kutoka KE, nimebarikiwa aisee. I hope mko poa huko...
Karibu. I just liked the open-minded outlook in your above analysis. Sex isnt a bad thing, it isnt fair at all that some pipo should condemn that gentleman as ''a wolf in a sheep's coat''.
Huku Kenya lakini tuko wazima tu mkuu.