This account cannot use WhatsApp

Sio wanao
Hawa jamaa wapo serious sana na watu wanaotumia whatspp GB ni hatari sana.
Tumia Unofficial whataapl tu..

Sisi watumiaji wa OPPO tunateseka mno.. Kama mimi simalizi week napigwa ban uki-reviuw wanakufungulia ndani ya 24 hrs
 
Nime try kutumia number ingine ya WhatsApp nikatumia WHATSPP GB , nimepigwa ban hawa jamaaa watanimaliza nitumie official Application tu sasa.
 
Mimi nilipigwa ban toka juzi na nimeamua kutulia kwanza. Ila si utani hii Offcial naona kama nimepotea
 
Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameb

Nimekuwa natumia GB whatsapp miaka mingi sasa juzi nikasema nidownload whatsapp ya kawaida aisee Iligoma kabisa kuinstall...!! Ni kitu haiajawahi tokea kabisa kwenye app yoyote kwangu nahisi wameban sijui
Mkuu ulipata solution?.
The same issue happens to Me.
WhatsApp messenger imegoma kua installed kwenye simu yangu.
 
Back
Top Bottom