Habari ndugu zangu kwa wale munaoweza kunisaidia ufumbuzi wa tatizo hili, Natumia iPhone ila kuanzia juzi nikiiweka kwenye charge inaniletea hyo error.
Nilikuwa nataka kufahamu nn tatizo hapa?
Binafsi natumia waya original,haijawahi kusumbua mpaka nilipo update ios 12.0.1 ikaanza kutuma huo ujumbe,kisha ikagoma kabisa kutumia waya huo kwa charge,mpaka nilipo badili,waya bado ni mpya lakini ndio hivyo tena.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.