Salaam wana forum..Kuna ndugu yetu alipata div 3 kidato cha sita hivo kukosa sifa za kuendelea na chuo hivo ikabidi atumie cheti cha form four ambapo alipata div 1 kuomba diploma ya engineering na architecture..Sasa tatizo limekuja pale ambapo amekosa nafasi katika first na second selection na kubakisha nafasi moja ya third selection..Katika profile yake ya NACTE option ya kufanya abadilishe vyuo haipo tena vimebaki vile vile alivyochagua second selection kwa third selection hivo yupo kwenye dilema hajui afanyaje na deadline inakaribia...Mwenye mawazo pamoja na ushauri nawakaribisha ili tumsaidie..