Third round application

Third round application

Joined
Oct 10, 2015
Posts
59
Reaction score
1
Jaman mm ni muhanga wa third round, nmejarb kulogin kwenye profile yang nkajarb kuedit na kuadd program, cha ajabu inakubali wakati deadline ilikuwa jana 14/10 tafadhar mwenye uelewa kuhusu jambo hili anisaidie, sielew hapo inakuaje wakuu.
 
jana ilikua holly day__mwsho ni leo sasa,...
 
Kesho ndio deadline Sasa watatoaje cku hiyohiyo
 
Wale wa AJUCO waliokuwa provisionally selected majina ya 2nd batch yametoka ingia kwa website yao uone na uache kupoteza muda wa kuingia CAS kila wakati ukiangalia confirmation,hata mimi nimekuwa mtumwa wa hii CAS ila sasa basi na sitaki hata kuisikia.
 
Unakuaje jamani Mimi nmesahau password yangu na sijui chochote adi sasa
 
Back
Top Bottom