Ndio maana nilikuwa nasema, zile kelele za kutaka kuishambulia malawi zingetutia aibu kubwa sana, Jeshi letu chini ya serikali ya CCM limekuwa Jeshi zembe sana katika ukanda wa maziwa makuu sababu ya kuendekeza ufisadi na ufichaji wa pesa nje ya nchi.
Inawezekana vipi askari wao wenyewe washindwe kumpata mpaka leo, wanaweza kumpata adui hawa??