Kundi lako ni lipi.Tunao wawakilishi wengi makini bungeni wanatosha kutusemea,na tushukuru Mungu safari hii tumepata wabunge wengi kutoka chama makini Chama Cha Mapinduzi .
ukimuona mtu anakesha Jf kuizungumzia serikali na kuitukana tambua huyo ana interest zake binafsi na hao ndio vibaraka wa mabeberu.
Wengi wao hapa Jf wamekuwa kama mbwa koko wanabweka bweka tu hawana madhara pia tuna wale waliokosa teuzi wanakuja kujificha humu Jf kulalama🤔🤔🤔🤔