Think Tanks US & UK : Magufuli atashinda uchaguzi 2020 kwa zaidi ya 65%,imekaaje hii?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Warafiti nguli wa masuala ya kiuchumi na kisiasa duniani kutoka Marekani na Uingereza wametoa matokeo ya tafiti zao juu ya hali ya siasa nchini Tanzania baada ya kuziendesha kwa zaidi ya miaka miwili juu ya hali ya kisiasa nchini

Taasisi hizo nguli ulimwenguni zimetoa report ambayo #TheFinancialTimesTZ imeipata nakala zao (zipo kwenye link) kwamba Rais Magufuli atapata ushindi mkubwa zaidi wa 2015 kwenye uchaguzi unaotegemewa kufanyika 2020 na kuaminiwa kushinda kwa zaidi ya 65% huku chama chake cha CCM kikidaiwa kuzidi kua na ushawishi nchini na kuendelea kushika dola kwa awamu nyigine nyingi zijazo kutokana na watanzania wengi kuzidi kukiamini.

PRESIDENT John Magufuli is widely expected to win re-election next year despite impressive gains made by the opposition in the 2015 general election and the likelihood of a slowdown in economic growth, according to new reports./(link: https://www.ippmedia.com/en/business/why-magufuli-will-win-second-term-office) ippmedia.com/en/business/wh…

DwZ62YuXQAAqvpJ.jpeg
 
View attachment 990380
Ndoo unaanza kampeni? Au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo hivyo? Mimi naamini atashinda kwa asilimia zaidi ya 92. Ila wamechemsha kwenye taarifa yao, kwani hakuna Data popote inayoweza kuwapa mwelekeo wa matokeo hayo, bali Mazingira ya utawala na ushindani uliopo ndiyo yanayotoa mwelekeo wa matokeo hayo.
 
Yote tisa kumi ikiwa ni hivo pawepo na tume huru policcm watumie sheria zao zinazowataka halafu watu waingie ulingoni akishinda kwa kura halali bila ya figisu za kuiba kura na kuficha masunduku ya kura kutoka vichochoroni kichwa changu halal yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushinda kwa magufuli kupo hapa:-

Tume ya uchaguzi ni ccm

Jeshini wakuu wengi makada wa ccm

Mkuu jeshi la polisi ni kada wa ccm

Wakuu wa mikowa ni makada wa ccm

Wakuu wa wilaya makada wa ccm

Wakurugenzi makada wa ccm

Kinachofanyika sio anashinda ila atapewa ushindi kwa vyovyote iwavyo maana ccm huwa haishindi ila hupewa kwa nguvu ushindi na niliowaorodhesha hapo juu.
 
Yote tisa kumi ikiwa ni hivo pawepo na tume huru policcm watumie sheria zao zinazowataka halafu watu waingie ulingoni akishinda kwa kura halali bila ya figisu za kuiba kura na kuficha masunduku ya kura kutoka vichochoroni kichwa changu halal yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa 16%?
IMG_20181023_183628.jpg
 
65% tu, sio 100% sasa kama ni hivyo hivi vyombo vyao vitakuwa vimemsaidiaje.?
 
Kwani uchaguzi WA Bongo upinzani wanawezakushinda , hapa bongo ambapo hakuna time huru ya uchaguzi ukiangalja hata Mwenyekiti wa uchaguzi nikada WA CCM tangia uvccm kalelewa Upinzani hawawezi kushinda watashinda Siku kukiwa na Time huru ya uchaguzi Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli atashinda kwa asilimia zaidi ya 90 kwa kuwa ametekeleza aliyoahidi na zaidi
 
Back
Top Bottom