box hapa ni sera za chama na maneno ya kiongozi:
Mfano wewe bwana abdulhalim nakujua vizuri,sera ya chama chako na maneno yako ya kisiasa wote tunayajua. Lakini hivyo ndivyo vitakuwezesha kuingia state house/ikulu,ila kwa ninavyofikiri na ninavyo kujua ukiingia pale najua hili,lile, na haya lazima utayafanya hayo ndio outside the box. Ni mambo ambayo wengi hawayaoni,lakini yaweza tokea hujaelewa tu mheshimiwa sana?