Think Beyond

mkaxsenoc

New Member
Dec 14, 2012
2
2
watanzania wengi tuna ugonjwa mkubwa sana ambao unatumaliza na utaendelea kutumaliza
kama hatutakua tayari kuuzuia kwa kuutafutia kinga madhubuti,ugonjwa huo sio mwingine bali
ni kukosa huruma,kukosa upendo ,kukosa uchungu na kutodhamini maisha ya mtu mwingine pale unapoona
maishayako yako mahali pazuri.jamani ss sote ni ndugu haina haja ya kushabikia mambo ya kisiasa ambayo
yatatuingiza kwenye majuto na dhambi isiyo sameheka.,tunaomba viongozi wetu wenye mamlaka nanchi hii
kitambua kwama maisha ya watanzania naraia wote yako mikononi mwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom