Think before you act

😂😂😂😂😂 itambidi abadilishe tu hakuna namna Ila Kuna watu wana mahaba ya ovyo...mfyuuuu.
 
Dogo janja now anajiita janjaro
Young killer now msodoki
Dogo aslay now aslay
 
Kuna jamaa alichora sura ya dem wake kifuani
Na akaandika Jina lake mkononi
Siku dem alikuja mpiga chini jamaa jamaa a alipagawa

Ova
 
Nimechora tattoo ya dem wangu anaitwa Marry begani... Siku tukizinguana inabadilika na kuwa Marijuana! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Au unatafuta Marry mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada Anaejua sehem wanapo chora haya madude mbeya mjin naomba anistue nataka nichore jina la b mkubwa wng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…