Things Women Should Know About African Men


Kwa wakati huu siwezi kusema kitu, labda wakati ukifika nitaweza kufanya mambo tajwa hapo juu........
 
Tatizo kuna watu humu mnachukulia hii kitu personal...kama hamfanyi hii kitu bado kuna wanawake ambao ni watiifu
Msemaovyo u have said it all,
sometimes lets be realistic we African right,
ur mom dad went through all that, and marriages stayed strong till u're older enough to argue ur husband.... sorry for u who argue the truth..
 
Last edited by a moderator:
kwa baadhi ya wanaume wakioa mke ambaye anafuata kila kitu kama kondoo huona fahari kumbe ni ujinga
Na mwanamke kama huyo ambaye hawezi kunichallenge kwa chochote hata nikikengeuka kibinadamu tu hanifai maana hapo hakutakuwa na maendeleo yoyote.

Nakumbuka kabla sijaoa, mchumba wangu ambaye sasa ni mke wangu aliwahi kuwa mkali kidogo hasa kwenye matumizi ya pesa. Mimi nilikuwa nikiingia viwanja nikikuta washikaji lazima niwasalimie kwa round, halafu mambo mengine yanaendelea kama kawaida.

Mchumba wangu aliliona hilo akanishauri nipunguze kupiga kilaji nikaanza badala ya kupiga zisizo na idadi nikawa nikifikisha tano anasema tuondoke tena kwa kulipa yeye bili na kumuomba muhudumu asilete tena. Matokeo yake nikajikuta nanunua shamba Kibamba Mpigi magohe, mara kausafiri kangu wakati vitu hivyo sikuwa navyo na pesa nilikuwa napata ya kutosha tu lakini kwa sababu ya kuweka heshima VIWANJANI sikuvimudu.

Siku zote nitamheshimu mke wangu huyu maana huwa najiuliza hivi alipata wapi ujasiri ule wakati hata sijamuoa, yeye anakaa kwao mimi kwangu, je ningemuacha kwenye mataa.
 
Hongera kaka kwa kuona kuwa katika maisha huwezi kuwa right kwa kila kitu so kama ungeoa mke ambaye hana challenge katika maisha na bila shaka usingefika hapo ulipo even though bado baadhi wanaume wengine hawataki kubadilika wenyewe ni ubabe tu na hawataki kushaurika ni ngumu sana kwao kuendelea.
 
I just have one word for you ----! Flush it in the drainage because this woman is extinct. Thats whats up!
 
Kwa hali ya sasa sio kiivyo bwana sanasana mwanaume atakuona we wa wapi? Kwenye nyumba nyingine mwanamke ndio anafanyiwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…