Things Women Should Know About African Men

Nilikuwa nashindwa kudefine 'stone age' but I guess here the definition is loud and clear.
 
Mimi Katiba ya nyumba yangu inasema, "Mke wangu nitaishi naye kama rafiki yangu mkuu". Huwezi kuwa na rafiki halafu ukamfanyia hayo. Mwanamke kum-control ni rahisi mno, ukiwa bize na ku-control mwili wapo wenzio wanafanikiwa kwa kum-control akili yake tu.

Ukim-control akili yake na siyo mwili wake hayo yote atayafanya mwenyewe tena kwa utashi wake mwenyewe bila shuruti zako.
 

Everyday you give me a reason to love you MORE........
 
And i thought slave trade was abolished! Kumbe ilibadilishwa jina ikaitwa 'ndoa'

Ndoa ni muungano wa hiari mwanaume na mwanamke hakuna anayelazimishwa kuingia. If you're not interested usiite ndoa ambalo ni jambo TAKATIFU LILILO ASISIWA NA MUNGU "Slave Trade". Hebu waulize wanawake wenzako kama ndoa ni utumwa au something else.
 
Tatizo kuna watu humu mnachukulia hii kitu personal...kama hamfanyi hii kitu bado kuna wanawake ambao ni watiifu
 

Well said
 
ah.. haya mambo yamepungua kimtindo....
 
 
Last edited by a moderator:
Wengine huboreka. Mwanamke gani ambae kula kitu anaitikia tu na hawezi kufanya maamuzi yoyote?! That ndoa must be very boring aisee.

Kuna mengine ni sawa. I believe in being submissive, na ofcoz consulting ni muhimu na kufanya maamuzi ya pamoja kama familia.
kwa baadhi ya wanaume wakioa mke ambaye anafuata kila kitu kama kondoo huona fahari kumbe ni ujinga
 
Ndoa ni muungano wa hiari mwanaume na mwanamke hakuna anayelazimishwa kuingia. If you're not interested usiite ndoa ambalo ni jambo TAKATIFU LILILO ASISIWA NA MUNGU "Slave Trade". Hebu waulize wanawake wenzako kama ndoa ni utumwa au something else.

Yaani na kwako wewe hayo hapo chini ndio ndoa?! Ndoa ni hiari kama ulivyosema, na kuna hiari ya kufanya mambo. Hata mola hakukusudia iwe hivi kama ilivyoainishwa hapo chini. Hapo hata Da Sophy yuko desperate lakini hawezi kukubali aisee.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…