We ulikuwa wapi wakati anakusababishia hilo? Mchepukoni eti!!!Tangu walivyosababisha nifukuzwe Eden, basi ni uhasama tu..hahha
SijaonaMbona leo kuna uzi nimeutupia wa kuwatetea nyinyi? Au hujauona?
Mwanangu Umeongea kwa code? Au ni mimi tu ndo sijakuelewa?ila watu niko too emmotional nao since najielewa but hawaon na hawapendi niwe ivyo nikifungua koki ndo huja mbio kugaragazwa but all in all thank god najielewa na kujitambua siwez cheat tena nimekoma
ujumbe unaeleweka tu....ila ni sehemu ambayo yalinikuta hadi sasa sijui nafanya nini na hawa viumbeMwanangu Umeongea kwa code? Au ni mimi tu ndo sijakuelewa?