Things ladies do that turn men on

And gals who watch football, wink��

Subutu! Unless wawe na genuine love for football.

Hamna kinachokeraga wanaume kama mwanamke anaejidai anajua mpira, she's the loudest in the room na hamna lolote.

Yeye na Karucee ni wale wale, wanajua penalty tu! na ni baada ya kuona mijamaa ikipangana mstari imeziba pumbu.
 
Last edited by a moderator:
These are not hard and fast rules.

Some men just get turned on by anything.

pia,Hapo kwenye girls in red, thats a first kibongo bongo
 

Na mwehu kama huyu Karucee yaani anakupashapo moto bila microwave hapa kundi hili kuna Evelyn Salt, Cyan6, TATIANA, Husninyo, badiebey, gorgeousmimi, Heaven on Earth, miss neddy, miss chaga, Vaislay na wengine majina sikumbuki those funky ladies ambao nadhani wanaweza kukuambia oyaaaaa njoo huku nanii inahitaji nanii ndani yake!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
HAHAHAAA. Lols.

Tena nikiona unajifanya huelewi 'I make actions speak louder than words'.🙂

Morning OS, a bright new day it is.
 
Last edited by a moderator:
Hapo mi naona hakuna inayonihusu, naona zimekaa kimagharibi zaidi!
...wewe vaa khanga moja tu, au gauni jepesi utaona mtiti wake.
 
Hahaha mimi i have genuine lov for football na niliambukizwa na kakangu mkubwa na paw. But i am not so vocal, i just watch na kucomment hapa na pale (nna mapozi, lmao, usinichukulie poa. Mamndenyi ana bahati simjui mumewe manake ningemdaka!)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…