Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea
Si kweli, watu hawapendi habari zilizochujwa kupita kiasi kwa kuogopa kauri " msifikiri mko huru saana" sasa waandishi wanaandika yasiyouzika na ya uongo ambapo jamii imeshagundua inaingizwa chaka na kuacha kununua magazeti ya uongo na propaganda!
Ajira siyo kipaumbele cha serikal hii. Trump anapigana kila kukicha kuongeza ajira lakini huyu anapigana kumaliza ajira zote. Vijana amkeni pingine huu udictator. Siku moja nilimsikia akisema eti dada yangu alikufa hata watanzania wote wakifa sijali