Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Yule mtt mbabe sana aisee..Yataka moyo kuwa naeHahaha. Atoto atakuambia tu "Lemme grab your wallet, first".
some girls sio maromantic bro..Niliwahi kumdate atoto Na nilijitahidi kufanya baadhi ya namba tajwa hapo juu..Niliishia kuambiwa nina utoto mwingi sana
Sasa wewe umekazania kugrab my bat tuuu hata hutaki nigrab yo money!! Kiruuuuuu!
Ukiwa mromantic hizo pesa zinatoka bila mtu kujijua..We mbabe sana
Sasa wewe umekazania kugrab my bat tuuu hata hutaki nigrab yo money!! Kiruuuuuu!
Y donti yuu grabu yuazi??
Mi sijawahi kukwambia hivyo..We endelea na ubabe wako tu..Utaishia kulea watt wa watuNyie si ndio kila siku mnatuambia humu tuachane na mapenzi ya tamthiliya, kisa tumewataka muwe romantic? Sasa ni mwendo wa ubabe ubabeni tu.
Mi sijawahi kukwambia hivyo..We endelea na ubabe wako tu..Utaishia kulea watt wa watu
Douta Paulo uwa anakufanyia hayo?Aah yani kuna tuvitu ukitusoma unaishia tu kusmile mweeee[emoji39] [emoji39]
Dawa yako iko jikoni wwNawalea wengi tu hataa hakuna shida.
Aah daddy unadhani ningeweza kuishi naye kama ana swagga za ki - hip hop muda wote weeeeDouta Paulo uwa anakufanyia hayo?
Basi una faidi sana douta..Hongera..Mi hiyo namba 5 nikiifanya nafokewa kama vile nimeshika kalio la strangerAah daddy unadhani ningeweza kuishi naye kama ana swagga za ki - hip hop muda wote weeee
Teh pole sana daddy, sasa wewe mzee na wewe yani mtu wa kumfanyia uromantic umekosa hadi ukamfanyie yule manka atoto. Yeye kama hamna pesa basi huo uromantic wako ni Usumbufu tu kwakeBasi una faidi sana douta..Hongera..Mi hiyo namba 5 nikiifanya nafokewa kama vile nimeshika kalio la stranger